THURSDAY, JULY 23, 2026

Good afternoon, reader.

Latest stories from across MsomiHuru

Serikali mkoani Dar es Salaam imekuja na mikakati madhibuti inayolenga kubadilisha jiji hilo la kibiashara liweze kuwa la kisasa zaidi.

Jeshi la Polisi mkoani Pwani limefafanua undani wa sintofahamu iliyoibuka baada ya mama mmoja kudai kwamba amebadilishiwa mtoto katika Hospitali ya Bagamoyo, baada ya kujifungua.

He noted that improved air connectivity will enhance Tanzania’s ability to receive international delegates, investors, tourists, and business travelers.

This strategic move is aimed at deepening economic ties, reducing reliance on third-party foreign currencies, and bolstering cross-border trade volumes between the two nations.

“Whether you are a tenant or a homeowner, if you live in Temeke you must have five trees. You may choose fruit trees or shade trees,” Mapunda said.

The reforms have significantly boosted investor confidence and enhanced Zanzibar’s attractiveness as a destination for business and capital investment.

He also pointed at reviewing regulatory provisions to stimulate domestic investment by lowering minimum capital requirements for local investors through a dedicated domestic investment window.

She said that the Doctor Honoris Causa award was not a personal accomplishment but a reflection of the trust and confidence Tanzanians have placed in her leadership.

"These achievements demonstrate Tanzania's commitment to protecting the effectiveness of life-saving medicines and safeguarding public health," he said.

Pia walinasa hati mbalimbali za ardhi na magari, vifaa vya kielektroniki, mikataba ya mauzo pamoja na nyaraka za vibali vya ujenzi vya Kaunti ya Nairobi.

“Tunaiona hatua hii kama ishara nzuri sana. Tunafurahi sana kukukaribisha nchini Urusi. Mwaka huu tunaadhimisha miaka 65 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi zetu,” alisema Putin.

Rais Samia amesema ziara hiyo ni ya kihistoria kutokana na ukweli kwamba imepita zaidi ya nusu karne tangu kufanyika kwa ziara ya mwisho ya kiserikali ya Tanzania nchini Urusi.

Markets, companies and money stories

Business stories will appear here once published.

Sports news and analysis

Sports stories will appear here once published.

Hand-selected by our newsroom

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa kabla ya mkutano huo, viongozi hao wawili wanatarajiwa kuzungumza kwa kina kuhusu masuala anuai yakiwemo biashara, uchumi, uwekezaji na kilimo.

"Anafanya kazi iliyotukuka na hapa nitawakumbusha, lakini yeye na hayati Dk.Magufuli walianzisha miradi mingi mikubwa sana,"ameeleza zaidi.

Amesema ng’ombe ambaye hapo awali alinunuliwa kwa wastani wa Sh700,000 sasa huuzwa kwa hadi Sh1.2 milioni, jambo ambalo limechangia kwa kiasi kikubwa kupanda kwa bei ya nyama katika soko la Zanzibar.

“Wananchi wanapaswa kufahamu miradi inayotekelezwa katika maeneo yao na namna fedha zinavyotumika. Ushiriki wao utasaidia kuhakikisha thamani ya fedha inaonekana na kuzuia vitendo vya rushwa,” amesema Chalamila.

Kwa nchi za EAC, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), inashika nafasi ya pili na ya tisa barani Afrika kwa uchumi mkubwa.

"Nimeondoka nchini leo kuelekea Shirikisho la Urusi kwa ziara ya Kitaifa kufuatia mwaliko wa Mheshimiwa Rais Vladimir Putin, ikiwa ni ziara ya pili kufanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya ile ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, Oktoba 1969."- Rais Samia

“Ziara hii pia inalenga kusikiliza, kufuatilia na kutatua kero zinazowakabili wananchi katika maeneo mbalimbali ya mkoa wetu.

Pia amepinga kuundwa kwa tume ya uchunguzi wa jinai kuhusu matukio ya uvunjifu wa amani, akisema imechelewa kuanzishwa na hivyo kupoteza imani ya wananchi.

“Sisi kama Wilaya ya Bagamoyo tunapaswa kuhakikisha tunaepuka shughuli za kibinadamu katika maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya hifadhi ili kulinda vyanzo vya maji na mazingira yetu,” amesema Msofe.

Licha ya mvutano unaoendelea kati ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Ofisi ya Msajili wa Vyama, lakini Naibu Msajili amekipongeza chama hicho katika kuzingatia sheria na sera kuhusu masuala ya jinsia.

Uchaguzi mdogo katika Jimbo la Isimani, unaendelea huku wananchi wakijitokeza kupiga kura kumpata mbunge mpya, kufuatia kifo cha William Lukuvi, aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo.

"Hapa jambo kubwa ambalo limesemwa kwenye taarifa, ni suala la zahanati, ambapo wananchi wanaomba kiwe Kituo cha Afya.